Shule nzuri ya kisasa inauzwa Madale Flamingo. Mita 800 kutoka lami ya Madale. Madasa 12, cafteria 2, ofisi ya walimu na mwalimu mkuu, vyoo kila darasa vilivyozingatia wanafunzi wenye ulemavu, nyumba ya vyumba viwili, hati miliki ipo.
Mark as Sold
Report Abuse
Posted 6 months ago
Ruaha Assets
Member since a year ago