Description

Shamba zuri na kubwa lenye majengo kwaajili ya Ufugaji linauzwa. Shamba hilo lina ukubwa wa ekari mbili (10,000SQM) lililopo Kingolwira mkoa wa Morogoro. Shamba hilo lina majengo nane (8) ya kufugia pamoja na Stoo kubwa sana la kuhifadhia vitu mbalimbali vya mifugo. Pia lina jengo linaloweza kutumika kama ofisi kwa shughuri za uendeshaji wa ufugaji. Karibu ujipatie shamba zuri kwa shughuri za ufugaji. Wasiliana nasi leo ili kuweza kutembelea eneo hilo.

Features

Land Area
Land size: 4900SQM

WhatsApp