Description

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Kinyerezi Chumba kimoja Master, pia ina Sitting room Dining room Kitchen & Store Public toilet Hati zipo Maji safi dawasco umeme vyote vipo Nyumba ipo mtaa mzuri sana majirani Safi. Maongezi yapo

Features

Bedroom
Bedrooms: 3
Bathroom
Bathrooms: 2
Car Parking
Car parking: 10
Land Area
Land size: 500 Sqms

WhatsApp