NYUMBA NZURI SANA NA YA KISASA INAUZWA. 🔎DETAILS + Location: Ngaramtoni, red house, kituo kabla ya BAYPASS + Eneo: SQM 23x20 + Bei: Tsh 500,000,000 /= NEGOTIABLE + Mark: RED HOUSE NGARAMTONI + Distance: mita 500 kutoka rami kubwa YA Namanga, + Nyaraka: Clean Title Deed/Hati ya Wizara SIFA ZA NYUMBA + Vyumba: 5,vyumba 4 ensuites + Sitting rooms + Dinning room + Kitchen + Public toilets +Garage +SERVANT QUOTER +dawasco water