Description

Gorofa nzuri ya Kisasa sana Inauzwa SALA SALA BIG BROTHER Ina Vyumba Vitano vya Kulala vyote ni self Contained Sitting room Dining room Kitchen Store Public toilet Servant quarters Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1600 document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya ardhi) maji safi dawasco umeme vyote vipo Gorofa Ipo mtaa mzuri sana (The neighbours are very well organized)

Features

Bedroom
Bedrooms: 5
Bathroom
Bathrooms: 6
Near Public Transport
Near Shops
24/7 Security
Electric Fence
Water Reserve Tank
Garden
Air Conditioning
Ceiling Fan

WhatsApp