Nyumba inauzwa Tegeta Wazo, mita 500 toka lami. Inavyumba vinne (kimoja master) jiko, makabati ya mbao, sebule kubwa, choo cha wageni na sehemu ya kulia. Pia ina nyumba ndogo ya chumba na sebure.
Mark as Sold
Report Abuse
Posted 4 months ago
Ruaha Assets
Member since a year ago