Heka mbili zilisosajiliwa na zina Haiti. Ziko mita 200 kutoka Barbara kuu ya EAC bypass karibu kabisa na chuo kikuu cha Nelson Mandela. Kwa sasa shamba lilikuwa linatumika kwa kilimo na mifugo. Umeme na maji yanapatikana Shabani na kuna kisima kikubwa kimechimbwa kwa ajili ya maji. Bei ya Shamba lote ni Tshs 120,000,000/-. Kuchangamkia fursa hii kwa jailli ya uwekezaji, wasiliana Fred 0713055086.