Eneo linakodishwa Boko Chama linagusa Bagamoyo road Lina flemu 5, Office, Bar, Jiko la ndani na nje na Kontena la futi 20 Kodi Milioni 5 @ mwezi (Maongezi yapo ) Kodi ya mwaka mmoja na kuendelea Ukubwa sqm 1132 ( urefu ni meter 39 na upana 29 meter.) *TITLE DEED (hati miliki ya wizara ipo)* Linafaa Kwa kufanyiwa shughuli yoyote *Angalizo:Eneo haliuzwi* Unaruhusiwa kutumia miundombinu iliyopo kama ilovyo au kubomoa na kujenga chochote kutokana na plan yako