Description

Kiwanja kizuri 2000 sqms, Bunju Kiharaka. Kilometa 3 tu kutoka lami. Kina ghorofa ndogo ya vyumba viwili vyote master. Pia kuna mabanda ya makubwa tayari kwa mradi wa kuku. Kiwanja kimepimwa, hati bado. Karibu kwa mazungumzo zaidi

Features

Land Area
Land size: 2000 Sqms

WhatsApp