Description

Kiwanja kikubwa kinauzwa Mataya Bagamoyo, Kiko sehemu nzuri yenye shughuli zote. Kina msingi wa nyumba ya kisasa ya vyumba vitatu. Hati Ipo, Umeme na maji vyote vimefika.

Features

Land Area
Land size: 3600 SQMS

WhatsApp