Viwanja vizuri sana vinauzwa Viwanja vimepimwa na vina Hati miliki tayari Viwanja vinavyouzwa ni 10 vyenye alama ya ✅ na vyenye alama ya ❌vimeshauzwa (tizama kwenye picha ya mchoro) Kuanzia ukubwa wamita za mraba 530 hadi 3380 Viwanja viko Mbopo - Madale takriban km 4 kutoka main road madale mwisho, km 1 kutoka mbopo road